Je, Rais Ameanza Kampeni Za Mapema? | Mizani

Chini ya miaka miwili tangu kuchagukliwa kwake, Rais William Ruto ameonekana kuanza kampeni za mapema. Rais ameonekana akitembelea kaunti sio moja wala mbili, ila amezunguka karibu nchi nzima kwa kile ikulu inasema ni safari za miradi ya maendeleo. Je ni maendeleo kweli au ni kujipigia debe kabla ya uchaguzi wa 2027? Hii ni mizani na leo tunazamia siasa tukipiga darubini kampeni za mapema na athari zake kwa ukuaji wa uchumi wa taifa.
« | »
News Features