Wingu La Mtindi: Uraibu wa Pombe Umesababisha Uharibifu wa Maisha Mengi

Katika mkoa wa kati, uraibu wa pombe, umesababisha uharibifu wa kihisia ambao wanafamilia wengi sasa wanaishi nao. Familia nyingi zimepoteza jamaa zao wote wa kiume kwa pombe. Wenyeji wanasema pombe hiyo ni kama, sumu. Na siku moja tu kabla ya serikali kufanya kile Naibu Rais Rigathi Gachagua anachokitaja kuwa hatua kali dhidi ya biashara ya pombe haramu, mwanahabari wetu Rose Wangui anakuletea ripoti maalum kutoka kaunti ya Murang'a.
« | »
News Features