Vuguvugu mlimani

Mitetemeko katika mlima inaonekana kuanza kutulia, na mazungumzo ya urithi ambayo yalikuwa yakishika kasi yanaonekana kupungua. Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anaonekana kupata udhibiti ghafla. Wanasiasa wachanga nao wametuliza mihemko, kwa kile kinachoonekana ni makubaliano ya wazi ya kuwaacha walio madarakani waongoze huku wakiyakuza matarajio ya wale walio nyuma yao. Lakini hali haikuwa tulivu hivi kwa muda, hadi alipotoa kauli na kuzuia malumbano hayo Rais William Ruto mnamo tarehe Januari 23, 2024.
« | »
News Features