Uchunguzi Wa Endoscopy

Uchunguzi wa Endoscopy ya tumbo ni utaratibu wa uchunguzi unaotumiwa na daktari kukagua ndani ya koo, umio, tumbo, na utumbo wa juu. Pia wakati wa uchunguzi huo kuna kifaa ambacho hutumiwa kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
« | »
News Features