Tanzia ya Ouko

Ni maika 33 sasa tangu mauaji ya kikatili ya aliyekuwa  waziri wa mambo ya kigeni Robert Ouko ambaye maiti yake ilipatikana katika safu ya kilima  Got Alila, kilomita tatu kutoka nyumbani kwake Koru, huko Kisumu. hata hivyo hadi hii leo fuvu la kichwa chake bado liko jijini London katika hospitali ya Guys.

Bastola iliyopatikana kando yake ilirejeshwa humu nchini.  Je, mbona serikali hadi wa leo haijarejesha au kuzika fuvu la Ouko?

« | »
News Features