Gere ya Wadegere

Wadegere ni Jamii iliyotoka nchini Ethiopia miaka ya tisini lakini tangu kuja kwao Kenya, wamekuwa watu wasiotambulika huku jamii wanazotangamana nazo zikiwatenga kutokana na kasumba na imani potovu kwamba Wadegere wanaandamwa na laana na ufukara wa aina yake.

Jamii hiyo sasa imejitokeza kuzungumzia waziwazi kasumba hizo na unyanyapaa kutoka kwa majirani wao katika makala maalum ya Gere ya Wadegere.

« | »
News Features
||