Saliti ya Dini, sehemu ya 4: Kwaheri Mpenzi

Mhudumu wa shirika la ndege la Qatar Airways Beatrice Ajenta Charles maarufu Betty ni mmoja wa watu waliodaiwa kupotelea msituni Shakahola.

Betty, dadake Constance na wanao wanadaiwa kuelekezwa kwenye mfungo wa kufa na wazazi wao ambao ni wafuasi sugu wa Mackenzie.

Katika sehemu ya nne na ya mwisho ya Saliti ya Dini - kwaheri mpenzi, mhariri wa Kiswahili Ncholas Wambua anaangazia safari ya dada hawa wawili ya Shakahola na kwa nini wazazi wao ni wahusika kwa kupotea kwao.

« | »
News Features