Kisunzi cha Funzi

Wametelekezwa katika maendeleo na serikali tangu jadi. Je, uchaguzi huu utawapa ukombozi? Hii ni simulizi ya Kisiwa Cha Funzi, Kisiwa kilichosahaulika katika kaunti ya Kwale. #KisunziChaFunzi #Maamuzi2022
« | »
News Features