Sakama Kaskazini

Mashambulizi kutoka kwa wezi wa mifugo Kaskazini mwa Kenya na serikali kutoa matamshi makali sio jambo geni kwa Wakenya. Wengi wamepoteza maisha yao na maelfu ya mifugo kuibwa katika maeneo ya Suguta na Kerio.
« | »
News Features