Vile wasanii wa Kibera wanatumia art kupunguza effects za climate change | Earthwise Mtaani 

Environment imeaffectiwa kila mahali mostly mashinani na mitaani, ju yah ii story, nimeleta conversation ya Climate change mtaani na aim ni kucreate awareness, kucorrect, na pia ku inform wasee about effects zake. Nitakua nikikuletea story za Arif wanafanya positive things kupunguza effects za Climate change na Pollution. On our first episode nakuletea Gen Z watano, artists from Kibera. Wanaokota vitu kutoka kwa pipa, wanamake art then wanapiga mboka.  
« |
Episodes