
Video Player is loading.
Fumbo La Gakuru
Marehemu gavana Patrick Wahome Gakuru alikuwa amehudumu kama gavana wa awamu ya tatu ya Nyeri kwa siku sabini na tisa pekee, kabla ya kukumbana na mauti kupitia ajali ya barabarani.
Wakati wa vikao vya mahakamani kutafuta ukweli kuhusiana na kifo chake cha kuogofya, mashahidi kadhaa walisimulia jinsi gavana alishuhudia akiaga dunia baada ya kusalia amekwama ndani ya gari lake akiendelea kuvuja damu kwa wingi kwa zaidi ya dakika thelathini baadaye.
Familia yake ilijiondoa kwenye vikao hivyo baada ya kutofautiana vikali na mkurugenzi wa mashtaka ya umma alipopinga shinikizo lao la kuwataka watu fulani watano waitwe mahakamani ili wahojiwe. Je, hawa watano walikuwa ni akina nani? Mbona walikuwa na umuhimu sana katika vikao hivyo na kwa nini walikataa kufika kortini ili kujieleza na kumaliza shuku dhidi yao? Na pia je, ilikuwaje marehemu gavana akawa na polisi bandia kama mkuu wa ulinzi wake? Na kwa nini hadi wa leo kampuni ya bima kupitia kaunti ya Nyeri haijamlipa fidia aliyekuwa mlinzi wa Gakuru, Ahmed Kaib, manusura wa ajali hiyo ambaye alikatwa mguu wake mmoja? NTV inachunguza na kukuletea; Fumbo la Gakuru na Duncan Khaemba.
Not My Gun: MP Didmus Barasa, his gun and the murder of Brian Olunga | Murd...
From brutal killings that shocked the nation to unsolved mysteries that hau...
April 3, 2025
Battling Glaucoma | The Heart Beat
Four percent of people over the age of 40 suffer from one form of glaucoma ...
March 18, 2025
A Rare Cancer And Unbreakable Spirit
Tonight, we bring you the story of remarkable courage in the face of devast...
March 11, 2025
Twigas on Transit: Giraffe Translocation
Here's a first-person narration story from TURURU the Baringo Giraffe, abou...
March 6, 2025
The Shame Of ECDE Institutions in Kenya | Hard Lessons
Early childhood development centres, ECDE, fall under the jurisdiction of d...
February 23, 2025
Uyombo Nuclear Jitters
Kenya’s plan to begin construction of a nuclear power plant in 2027 which w...
February 16, 2025
Living on Hope
When Lydia Sasanu first felt the lump in her breast while nursing her baby,...
February 3, 2025
Ghosts Of 2007: Burden Of Rape
More than 17 years since post-poll violence engulfed Kenya in the aftermath...
January 14, 2025
Silencing the Guardians | Dissolution of the Kenya Water Towers Agency
After slightly more than 10 years of existence and service in rehabilitatin...
January 5, 2025