Tiba fisadi, Baringo

Mara baada ya ujio wa ugatuzi 2013, kaunti ya Baringo ilianza ujenzi wa zahanati katika maeneno ya mbali ili kushughulikia mahitaji ya matibabu ya wakaazi.

Lakini kutokana na kushindwa kuwaajiri na kupeleka wafanyikazi wa kuendesha vituo hivyo, zaidi ya vituo 50 vya afya vilivyojengwa na mamilioni ya pesa kati ya mwaka 2013 na 2022 vimesalia mahami kwa miaka na kuacha wenyeji wakiteseka zaidi.

« |
News Features