Tanzia ya Mboya

Ni miaka hamsini na mitano tangu kuuwawa kwake katikati mwa jiji la Nairobi, na hamna nadharia yoyote ambayo imeweza kuelezea kikamilifu kiini cha kuuwawa kwake na pia wahusika kwa wakuu waliofanikisha waziri Tom Mboya kuuliwa kinyama tarehe tano julai mwaka 1969.
« | »
News Features