Tanzia ya Ouko
Ni maika 33 sasa tangu mauaji ya kikatili ya aliyekuwa waziri wa mambo ya kigeni Robert Ouko ambaye maiti yake ilipatikana katika safu ya kilima Got Alila, kilomita tatu kutoka nyumbani kwake Koru, huko Kisumu. hata hivyo hadi hii leo fuvu la kichwa chake bado liko jijini London katika hospitali ya Guys.
Bastola iliyopatikana kando yake ilirejeshwa humu nchini. Je, mbona serikali hadi wa leo haijarejesha au kuzika fuvu la Ouko?
When he is not litigating in courts, then he is probably giving a public lecture or seated on a panel somewhere across the continent of Africa preaching about the elusive dream of a united Africa. Kenya’s high court advocate professor PLO Lumumba is increasingly gaining traction in the continent for his passion on pan-africanism that has seen him stand out as the latter-day Kwame Nkrumah who was the champion for pan-africanism. So what drives him to be this passionate about mama Africa? What kind of Africa is his dream about and who inspires him the most?
April 21, 2024